Ulaya

Afisi ya Ulaya ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa inafanya kazi kuleta maendeleo, kuboresha na kufanikisha matumizi ya rasilimali katika eneo zima.

Latest

Who will be the next Young Champion of the Earth? Get inspired by reading about the…

Get involved

New UNEP and ILRI Zoonoses Report examines the drivers of increasing zoonoses and how…

Publication alert

Climate change is pushing snow leopards towards increased conflict with local…

Story
Changamoto
Eneo linalojumuisha nchi za ulaya huvuka mipaka kutoka Atlantiki hadi Pasifiki, kutoka Bahari Mediterani hadi Mzunguko wa Aktiki.

Eneo hili, lililo na nchi 54, ni makao ya baadhi ya nchi tajiri mno duniani, ila kuna nchi zingine zilizo na umaskini uliokithiri na uharibifu wa mazingira. Zaidi ya watu milioni 100 kutoka eneo hili bado hawapati maji safi na hawana usafi wa kutosha. Theluthi moja ya jumla ya idadi ya watu inaishi katika nchi ambazo kuna changamoto kubwa ya kupata rasilimali za maji. Asili mia 70 ya mabonde ya mito ulaya inapita kati ya nchi mbalimbali. Kutokana na hali hii, ushirikiano wa nchi zinazoshiriki mipaka kutunza mifumo ya ikolojia ni muhimu.

Soma zaidi  • Kazi yetu kama wenyeji
  • Kuhusu afisi hii
europe

Regional Office for Europe

Director: Mr. Bruno Pozzi
International Environment House - UNEP Europe Office
Chemin des Anemones 11
CH-1219 Chatelaine
Geneva, Switzerland

Mailing address:
UN Environment Programme 
c/o MIE 
Avenue de la Paix, 8-14 
CH-1211 Geneva 10 
Switzerland 

Afisi ya Eneo la Ulaya ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa inapatikana Geneva. Pia tuna afisi Almaty, Brussels, Moscow, Sarajevo na Vienna. Afisi yetu ya Geneva ni makao ya Kituo cha Huduma za Kazi cha Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa na pia ni makao za Taasisi mabalimbali za Shirika: