Who will be the next Young Champion of Earth in West Asia? Meet the finalists!
Do you know a Champion of the Earth? Nominations for 2020 opened on 20 January 2020.
Waste Management Outlook for West Asia 2019.
Mambo haya, yakijumuishwa na mengine, yamechangia mizozo na malumbano ambayo yameathiri watu na mazingira vibaya. Amani na usimamizi wa mazingira ulioboreshwa ni muhimu ili kupata utajiri na ukuaji katika eneo hili la Asia Magharibi.
Tunaweza kufanya kazi katika eneo la Asia Magharibi kutokana na ubia na serikali, biashara, mashirika ya makundi ya uraia na wahusika wengine kutoka eneo hili. Orodha ya wabia wetu inapatikana hapa..
Our work in West Asia is made possible by our partnerships with governments, businesses, civil society organizations and other actors in the region. A list of our partners is available here.