NASA

Mabadiliko ya tabia nchi

Tunafanya kazi kupunguza kiwango na athari za mabadiliko ya tabia nchi.

Changamoto

Licha ya ahadi zilizotolewa kwenye Mkataba wa Paris, joto ulimwenguni linaweza kuongezeka kwa selisiasi 3.4 katika karne hii, hali itakayolazimisha watu kukabiliana na ruwaza mpya ya hali ya hewa.  

The Work
Ripoti

Emissions Gap Report 2020

Read Report