UNEP

Bahari

Tunahamasisha kuhusu utunzaji na usimamizi wa bahari na mazingira ya pwani duniani kwa njia endelevu.

Changamoto

Bahari zetu zinaharibiwa kupitia shughuli za binadamu zinazodhuru viumbe vya majini, zinazodunisha jamii kutoka maeneo ya pwani na kuathiri afya ya binadamu vibaya.  

The Work